Mawazo ya kujaribu
- kupapasa meza au sakafu
- kufungua na kufunga mkono
- kupunga mikono yote miwili
- kutoa ulimi nje
- kupiga teke dogo la miguu
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mtoto wako anatambua kuwa unamuiga, na kuanzisha harakati kwa lengo tu la kukuona ukimuiga.
Imetoholewa kutoka UNICEF / LEGO Foundation
Iga ishara zao