Kabla ya kuanza
Hakuna kitu maalumu.
Kaa kando ya mtoto wako wakati wote.
Usalama
- Hakuna vitu vinavyohitajika. Ukiongeza kichezeo, lazima kiwe kikubwa mno kiasi cha kutotosha mdomoni.
- Fanya kwa upole na uache mtoto wako anapoangalia kando au anapoonekana kuchoka.