Mawazo ya kujaribu
- Tundu moja dogo chini
- Tundu moja kubwa chini
- Matundu ubavuni
- Matundu mengi pande zote
Mambo ya kuangalia
Je, mtoto anabadilisha kisio lake baada ya jaribio la kwanza?
Imetoholewa kutoka 9 Story, with TVOntario; NSF-funded)
Ni kikombe kipi kitakachoisha maji haraka zaidi?