← Ni nini huonekana kutoweka majini?Umecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • “Unafikiri chumvi imeenda wapi?”
  • Sukari, chumvi, mchanga au unga
  • Maji ya uvuguvugu kutoka bombani na maji baridi
  • Kuongeza chumvi kijiko kimoja baada ya kingine

Mambo ya kuangalia

Mtoto anaelezaje mahali chumvi au sukari ilipokwenda?

Imetoholewa kutoka Fondation La main à la pâte

Ni nini huonekana kutoweka majini?