Mawazo ya kujaribu
- 'Haya hapa, supu ya majani.'
- keki ya majani yenye tawi juu
- rundo kubwa la kutosha kukaa ndani
- duka la kuuza majani kwa kujifanya pesa
Mambo ya kuangalia
Iwapo mtoto wako anakili unachofanya, basi abadilishe kuwa mchezo wake mwenyewe.
Imetoholewa kutoka Try! Childcare
Majani yaliyoanguka yanaweza kuwa nini?