Mawazo ya kujaribu
- kutembea mbele kama kaa
- kutembea nyuma kama kaa
- kutembea kando kama kaa
- kufanya mashindano mafupi ya kutembea kama kaa
Mambo ya kuangalia
Angalia kama anainua makalio au anajisogeza akiwa ameketi.
Imetoholewa kutoka American Academy of Pediatrics (HealthyChildren.org)
Jaribuni kutembea kama kaa