Mawazo ya kujaribu
- mgongo mmoja, daka, kisha migongo miwili
- mguu wa kulia, kisha mguu wa kushoto
- mpasie mwenzako kwa mgongo mmoja
- hesabuni kwa sauti pamoja
Mambo ya kuangalia
Iwapo wanapata njia yao wenyewe ya kuiweka hewani, na mguu wanaochagua.
Imetoholewa kutoka Ministry of Education of China (posted by Haidian District Education Committee, Beijing)
Jaribu kupiga teke shuttlecock