← Fuatilia vivuli vya kila mmojaUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • mikono juu kama nyota
  • kusimama kwa mguu mmoja
  • mikono juu ya makalio
  • kushikana mikono ili vivuli viungane

Mambo ya kuangalia

Ikiwa mtoto wako anaona kivuli chake ni kirefu au kifupi kuliko yeye.

Imetoholewa kutoka Exploratorium

Fuatilia vivuli vya kila mmoja