Mawazo ya kujaribu
- nyoka mwenye usingizi ambaye anasonga kwa shida
- nyoka mwepesi, mkunjo
- kuruka kwa miguu pamoja
- ruka juu kwa mguu mmoja
Mambo ya kuangalia
Iwapo mtoto wako anasubiri wakati unaofaa kuruka, na ni hatua gani mpya anazopendekeza.
Imetoholewa kutoka Try! Childcare
Kamba inakuwa nyoka