← Zungumzia kile mtoto anachoona madukaniUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • 'Machungwa ya mviringo ya rangi ya machungwa.'
  • 'Ndizi ndefu za manjano.'
  • 'Sikia harufu ya mkate. Una joto.'
  • 'Brr, friji ina baridi.'

Mambo ya kuangalia

Kile ambacho mtoto wako anakiangalia au kukinyooshea kidole, na jinsi anavyojibu unapotua.

Imetoholewa kutoka Center on the Developing Child at Harvard University

Zungumzia kile mtoto anachoona madukani