Mawazo ya kujaribu
- ua lililofungwa na ua wazi
- jua na mwezi
- uso unaotabasamu, kisha ukashangaa
- mbegu, kisha mti
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mtoto wako anapanga picha ya pili kufuata kutoka ya kwanza.
Imetoholewa kutoka Design Museum, London
Kadi ya picha inayozunguka na michoro mbili