Mawazo ya kujaribu
- joka, treni, hadithi, au kitu chochote
- uliza: ni nani katika hadithi hii?
- uliza: nini kitatokea baadaye?
- uliza: inaishaje?
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mpangilio wa picha ni muhimu kwa mtoto wako, au hadithi inabadilika kila wakati anapoisimulia.
Imetoholewa kutoka Let’s Make a Story / LEGO Foundation / Learning Through Play
Kitabu cha hadithi cha kukata picha