Mawazo ya kujaribu
- 'Baba yuko wapi? Peekaboo.'
- kuchungulia kutoka nyuma ya mlango
- kuruhusu mtoto wako kuvuta mikono yako mbali
- polepole 'peeee... kabuo'
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mtoto wako anaanza kutazama mikono yako, au kuwavuta mbali, ili kukufanya uonekane.
Imetoholewa kutoka Center on the Developing Child at Harvard University
Mchezo wa kujificha uso na kujitokeza