← Chungulia ndani ya sanduku lenye giza kwa tochiUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • Kichezeo cha rangi angavu, kijiko au tufaha
  • Mpira unaong’aa wa karatasi ya alumini iliyokunjwakunjwa
  • Karatasi nyembamba inayopitisha mwanga kiasi
  • Karatasi ya alumini inayozuia mwanga wote

Mambo ya kuangalia

Kabla ya kuwasha tochi anadhani ataona nini? Anaelezaje anachoona?

Imetoholewa kutoka Fondation La main à la pâte

Chungulia ndani ya sanduku lenye giza kwa tochi