Hatua ya 5 kati ya 6: Chungulia ndani ya sanduku lenye giza kwa tochi
Bandikeni karatasi nyembamba au ya alumini juu ya baadhi ya matundu. Jaribuni kuona ni matundu gani yanayopitisha mwanga.