← Mitindo kwenye kitambaa chenye madoadoaUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • vitalu vikubwa vya mbao
  • vikombe vya plastiki
  • vifuniko vikubwa vya mitungi
  • miiko ya mbao

Mambo ya kuangalia

Iwapo wanafuata mistari au madoadoa, au wanatengeneza ruwaza yao wenyewe.

Chanzo: UK Department for Education

Mitindo kwenye kitambaa chenye madoadoa