Mawazo ya kujaribu
- muziki mwepesi na wa kasi wa ala
- muziki wa polepole wa kinanda, kisha wa haraka
- Mozart au Beethoven
- kanda za zamani za muziki wa jazz
Mambo ya kuangalia
Kama alama zao zinakuwa za haraka zaidi, za polepole zaidi, au kubwa zaidi muziki unapobadilika.
Chanzo: The Eric Carle Museum of Picture Book Art
Kupaka rangi kulingana na muziki kwa brashi ndefu