Mawazo ya kujaribu
- pua yenye ncha dhidi ya pua butu, iliyokunjamana
- mbawa pana dhidi ya mbawa nyembamba
- kipande cha karatasi kwenye pua ya ndege moja
- soksi kuashiria mahali ambapo kila ndege inatua
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mtoto wako anabadilisha jambo moja kwa wakati mmoja, na jinsi anavyoelezea ni ndege gani ilifanya vizuri zaidi.
Imetoholewa kutoka Exploratorium
Tengeneza na ujaribu ndege mbili za karatasi