Mawazo ya kujaribu
- matone mawili ya machozi kwa mbawa na mwili mrefu wa mstatili
- ganda la nusu duara na madoa meusi
- kichwa cha mduara na vipande viwili nyembamba kwa wahisi
- uliza: inaonekana sawa kwa pande zote mbili?
Mambo ya kuangalia
Iwapo mtoto wako anaweka maumbo yanayolingana kila upande, na kile wanachokiita mende anaobuni.
Imetoholewa kutoka The Eric Carle Museum of Picture Book Art
Fanya wadudu kutoka kwa maumbo ya karatasi