← Tambua kitu kwa kivuli chakeUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • Uma au kifaa cha kupigia mayai
  • Kikombe chenye mpini
  • Dubu wa kuchezea
  • Ndizi

Mambo ya kuangalia

Je, anatambua kuwa kitu kilekile hutoa vivuli tofauti kikigeuzwa?

Imetoholewa kutoka Fondation La main à la pâte

Tambua kitu kwa kivuli chake