Mawazo ya kujaribu
- paka: kichwa cha mviringo, masikio ya pembetatu
- nyumba: mraba na paa la pembetatu
- roketi, samaki au gari
- 'Ni nini kingine wanaweza kuwa?'
Mambo ya kuangalia
Jinsi wanavyogeuka na kubadilishana maumbo ili kufanya kitu kipya.
Imetoholewa kutoka Froebel Trust
Maumbo manne hufanya mnyama, kisha nyumba