Mawazo ya kujaribu
- kisigino kwa vidole
- juu ya vidole
- pembeni kama kaa
- kubeba toy laini juu ya kichwa chako
Mambo ya kuangalia
Ikiwa wanatazama miguu yao au mbele, na ni njia gani mpya wanazobuni.
Imetoholewa kutoka Ministry of Education of China (posted by Haidian District Education Committee, Beijing)
Fuata mstari