Mawazo ya kujaribu
- mpira laini chini ya kitambaa cha chai
- njuga chini ya kikombe cha plastiki kilichopinduliwa
- teddy kwenye kisanduku cha viatu na kifuniko kikiwa juu
- 'Teddy yuko wapi? Kuna teddy.'
Mambo ya kuangalia
Ikiwa mtoto wako anatafuta mahali ambapo aliona toy mara ya mwisho, au mahali ilipofichwa hapo awali.
Imetoholewa kutoka Center on the Developing Child at Harvard University
Tafuta toy iliyofichwa