Mawazo ya kujaribu
- treni: mistatili yenye magurudumu ya duara
- mti: kamba ndefu na duara kubwa
- roketi: mstatili wenye pembetatu juu
- uso wenye tabasamu
Mambo ya kuangalia
Iwapo mtoto wako anapishana maumbo kwa makusudi ili kutengeneza kitu kipya.
Imetoholewa kutoka Sesame Workshop (Sesame Street in Communities)
Nilihisi picha za umbo kwenye mkeka