← Chora kile kilichotokea katika mchezoUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • 'Umecheza nini leo?'
  • 'Nani alikuwa katika mchezo wako?'
  • 'Ni nini kilifanyika baadaye?'
  • 'Ulikuwa unacheza wapi?'

Mambo ya kuangalia

Wanachochagua kuonyesha kutoka kwa mchezo wao, na kile wanachoongeza wanapozungumza kukihusu.

Imetoholewa kutoka Anji Play

Chora kile kilichotokea katika mchezo