Mawazo ya kujaribu
- mpira wa miguu na sufuria ya 'tunacheza na tunapika'
- gurudumu la baiskeli na jua ndani
- nembo ya duka la vitabu kwa duka la kuwaziwa la familia
- 'Watu wangejua nini kutuhusu kutokana na hili?'
Mambo ya kuangalia
Ni vitu gani mtoto wako anachagua kwanza, na jinsi anavyoelezea kila sehemu ya mchoro wao.
Imetoholewa kutoka Cooper Hewitt, Smithsonian Design Museum
Tengeneza ishara ya familia