← Tambaa juu ya mguu wa mzaziUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • Mpira laini
  • Kikombe kimoja cha seti ya vikombe vinavyopangwa juu ya vingine
  • Mguu wako mwingine kuwa kilima cha pili
  • Mto upande wa pili wa mguu ambao anaweza kuupandia

Mambo ya kuangalia

Je, anapita juu au anazunguka? Anajaribu njia tofauti mara inayofuata?

Imetoholewa kutoka kindergesundheit-info.de

Tambaa juu ya mguu wa mzazi