Mawazo ya kujaribu
- 'Huyo anafanana na kondoo.'
- 'Wingu la sungura linakwenda wapi?'
- joka, mashua au teddy
- 'Hilo wingu linafanya nini sasa?'
Mambo ya kuangalia
Iwapo mtoto wako anaanza kutunga hadithi kadiri mawingu yanavyosonga na kubadilika.
Imetoholewa kutoka UNICEF
Hadithi za umbo la wingu