Mawazo ya kujaribu
- colander kubwa ya plastiki
- beseni ya plastiki yenye mfuniko, kubwa mno kwa mdomo
- mpira mkubwa laini
- pete kubwa ya mbao au plastiki
- pete kubwa ya chuma
Mambo ya kuangalia
Wanarudi kwa kitu gani, na njia tofauti za kushughulikia.
Imetoholewa kutoka RIE (Resources for Infant Educarers), Magda Gerber's Educaring Approach
Chagua kitu cha kuchunguza