Mawazo ya kujaribu
- kamera ya kupiga picha mawingu
- chombo cha kupima uso wa Mirihi
- paneli za jua kutoka kwa kadi iliyofunikwa na foil
- antenna kutoka kwa majani
Mambo ya kuangalia
Ikiwa wanabadilisha muundo baada ya jaribio la kutikisa, na jinsi wanavyoelezea kazi yake.
Imetoholewa kutoka NASA Jet Propulsion Laboratory
Unda satelaiti ya mfano kutoka kwa vifungashio