← Miundo mikubwa ya shanga mfululizoUmecheza vizuri!

Mawazo ya kujaribu

  • nyekundu, bluu, nyekundu, bluu
  • nyekundu, nyekundu, bluu, nyekundu, nyekundu, bluu
  • kubwa, ndogo, kubwa, ndogo
  • nyekundu, bluu, bluu, njano, kisha tena

Mambo ya kuangalia

Iwapo mtoto wako atatambua wakati ushanga uko mahali pasipofaa na kuurekebisha.

Imetoholewa kutoka NCETM (National Centre for Excellence in the Teaching of Mathematics)

Miundo mikubwa ya shanga mfululizo