Mawazo ya kujaribu
- 'ba-ba' au 'ma-ma'
- 'uuh' ya utulivu na mdomo ulioviringishwa
- mlio wa upole wa kutoa ulimi na upepo midomoni
- 'ha-i' ya sauti nyembamba ya kuimba
Mambo ya kuangalia
Muda wanaosubiri kabla ya kujibu, na ikiwa wanajaribu sauti yako mpya.
Imetoholewa kutoka Center on the Developing Child at Harvard University
Kupokezana kubwabwaja