Kabla ya kuanza
- Masanduku matupu ya nafaka na ya vyakula
- Utepe
- Kalamu nene ya wino (marker) au penseli
- Vipande vya karatasi kwa ajili ya vibao vya majina
Kaa karibu.
Usalama
- Mtu mzima anafanya ukataji wowote na kuondoa vibandiko vya pini (staples) kwanza.
- Bandika utepe juu ya kingo zenye ncha kali za masanduku, na uweke mifuko ya plastiki ya ndani mbali na watoto.