Mawazo ya kujaribu
- mbwa, basi na keki: 'Safari ya kuzaliwa ya mbwa'
- picha zote za bluu kwenye ukurasa mmoja
- 'Ni nini kinatokea kwenye picha hii sasa?'
- ukurasa kuhusu siku ya familia yako
Mambo ya kuangalia
Jinsi mtoto wako anavyoamua ni picha zipi zitafuatana.
Imetoholewa kutoka designer Cinte Wittoek
Ukurasa mpya wa picha kutoka kwa magazeti ya zamani